Sale!
Center piece flowers

Center piece floral design

KSh3,000.00 KSh2,500.00

Kumpoteza mmoja wa familia au mtu unaye mpenda ni jambo ngumu. Sisi kama Jospah Florist tutahakikisha umepata maua haraka iwezekanavyo pale unapo yahitaji. Iwapo upo, Kenya karibu katika duka letu ambalo lipo Nairobi CBD, Muindi Mbingu street karibu na Monrovia street. Maua yetu yanadumu zaidi ya siku tano na tunahakikisha umepata maua yakiwa katika jinsi tuliyapanga. Pata maua sasa kutoka Jospah Florist. Wataalamu wa maua hapa Kenya.

8000 in stock

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Center piece floral design”

Your email address will not be published. Required fields are marked *